Juan Mata akionesha jezi yake aliyopewa leo mbele ya waandishi wa habariMCHEZAJI MPYA wa Mabingwa Manchester United, Juan Mata, Leo
ametambulishwa rasmi na kupewa Jezi Namba 8 huku mwenyewe akisema bado
yapo matumaini ya kutetea Ubingwa wao.
Man United wapo Nafasi ya 7 kwenye Ligi wakiwa Pointi 14 nyuma ya Vinara Arsenal huku Mechi zikiwa zimebaki 16.
Mata, ambae amejiunga na Man United hivi Juzi akitokea Chelsea kwa Dau la Pauni Milioni 37.1 ambalo ni Rekodi kwa Man United, huenda akacheza Mechi yake ya kwanza Jumanne Usiku Uwanjani Old Trafford dhidi ya Cardiff City kwenye Ligi Kuu England akivaa Jezi yake Namba 8 ambayo kabla ilikuwa ikivaliwa na Anderson alieenda Fiorentina kwa Mkopo.
Mata, mwenye Miaka 25 na anaechezea Timu ya Taifa ya Mabingwa wa Dunia Spain, amesema: “Ninachopenda kuhusu Klabu hii ni ile imani yao ya kutokata tamaa. Ingekuwa Klabu nyingine iko kwenye hali hii, ingekuwa ngumu kurudi na na kuchukua Nafasi ya Kwanza, lakini Klabu hii inaweza. Huo ndio msimamo thabiti wa Man United, Siku zote wanapigania Mataji, Siku zote wanashinda toka hali ngumu!”
Vile vile, Mata alisema anangojea kwa hamu kucheza na mwenzake Wayne Rooney.
Ameeleza: “Kwangu mimi, yeye ni mmoja wa Wachezaji Bora katika Historia ya Nchi hii. Huwezi kuamini Uchezaji wake. Ni Straika anaeweza kufunga, kusaidia kufunga na kurudi kwenye Kiungo kusaka Mipira. Nitajaribu kushirikiana nae kwa kadri ya uwezo wangu na kusaka mapengo kwenye Difensi za Wapinzani. Nadhani staili yangu nzuri ni kufanya hivyo! ”
Mata, ambae alitokea Valencia ya Spain na kujiunga na Chelsea ambayo aliifungia Mabao 32 katika Mechi zaidi ya 130, ameichezea Timu ya Taifa ya Mabingwa wa Dunia Spain Mechi 32.
Akiongelea ujio wa Mata, Meneja wa Man United David Moyes amesema ameshangazwa kuweza kumsaini Mchezaji Bora kama Juan Mata kwenye Dirisha la Uhamisho la Januari.
Moyes amesema: “Nimefurahishwa. Tulidokezwa Mwezi mmoja au miwili nyuma lakini sikutegemea kama tutafanikiwa. Tulipopata nafasi kumchukua tuliingia moja kwa moja. Watakuja Wachezaji kama yeye baadae.”Kocha wa United David Moyes leo jumatatu akiongea na waandishi wa habari wakati anatambulisha Juan Mata.
Juan Mata akifurahia kujiunga na mashetani wekundu.
RATIBA: LIGI KUU ENGLAND
Jumanne Januari 28
22:45 Man Utd v Cardiff
22:45 Norwich v Newcastle
22:45 Southampton v Arsenal
22:45 Swansea v Fulham
23:00 Crystal Palace v Hull
23:00 Liverpool v Everton
Jumatano Januari 29
22:45 Aston Villa v West Brom
22:45 Chelsea v West Ham
22:45 Sunderland v Stoke
22:45 Tottenham v Man City
MSIMAMO ULIVYO KWA TIMU KUMI ZA JUU:

2013-2014 Barclays Premier League Table | |||||||||||||||||||||||
Overall | Home | Away | |||||||||||||||||||||
POS | TEAM | P | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | GD | Pts | ||||
1 | Arsenal | 22 | 16 | 3 | 3 | 43 | 19 | 8 | 2 | 1 | 20 | 6 | 8 | 1 | 2 | 23 | 13 | 24 | 51 | ||||
2 | Manchester City | 22 | 16 | 2 | 4 | 63 | 25 | 11 | 0 | 0 | 42 | 8 | 5 | 2 | 4 | 21 | 17 | 38 | 50 | ||||
3 | Chelsea | 22 | 15 | 4 | 3 | 43 | 20 | 10 | 1 | 0 | 25 | 9 | 5 | 3 | 3 | 18 | 11 | 23 | 49 | ||||
4 | Liverpool | 22 | 13 | 4 | 5 | 53 | 28 | 9 | 1 | 1 | 29 | 8 | 4 | 3 | 4 | 24 | 20 | 25 | 43 | ||||
5 | Tottenham Hotspur | 22 | 13 | 4 | 5 | 29 | 26 | 5 | 3 | 3 | 13 | 13 | 8 | 1 | 2 | 16 | 13 | 3 | 43 | ||||
6 | Everton | 22 | 11 | 9 | 2 | 35 | 20 | 7 | 3 | 1 | 21 | 9 | 4 | 6 | 1 | 14 | 11 | 15 | 42 | ||||
7 | Manchester United | 22 | 11 | 4 | 7 | 36 | 27 | 5 | 2 | 4 | 14 | 10 | 6 | 2 | 3 | 22 | 17 | 9 | 37 | ||||
8 | Newcastle United | 22 | 11 | 3 | 8 | 32 | 28 | 5 | 3 | 3 | 17 | 12 | 6 | 0 | 5 | 15 | 16 | 4 | 36 | ||||
9 | Southampton | 22 | 8 | 7 | 7 | 29 | 25 | 5 | 3 | 3 | 17 | 12 | 3 | 4 | 4 | 12 | 13 | 4 | 31 | ||||
10 | Aston Villa | 22 | 6 | 6 | 10 | 22 | 29 | 2 | 2 | 7 | 8 | 16 | 4 | 4 | 3 | 14 | 13 | -7 | 24 |
No comments:
Post a Comment