
Dr. Jose Chamilione akijimwaga katikati ya mashabiki wake usiku wa kuamkia Christmass na ukiwa ni usiku wa Badilisha Concert

Hapo niajeeeeeeeeez!!!

Dr. Jose Chamilione akiimba moja ya wimbo wake jukwaani

Msanii
kutoka nchini Uganda Jose Chameleone akiubadilisha mji wa Mwanza usiku
wa mkesha wa Xmass, na hapa akikamua wimbo wake wa Badilisha!!

Mashabiki walioingia kwa wingi wakiimba pamoja na Msanii kutoka nchini Uganda Jose Chameleone

Mnataka wimbo gani nidondoshe!!!

Jose Chameleone Badilisha Live Concert CCM Kirumba Mwanza

Dogo D alibadilisha na yeye usiku wa badilisha Concert

Dogo D akitumbuiza wakazi wa Mwanza

BK SANDE akifunguka mbele ya Nyomi iliyojitokeza kwenye usiku wa Badilisha Concert

Hakika Bob Haisa alifunguka kwa sana na kuonesha kipaji chake kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kwa aina yake

Bob Haisa akiimba kwa hisia nyimbo ya Nisamehe"
Bob Haisa kweli ni jembe!!

Nyomi kwa sanaaa!!

ilibidi hata shati litoke maana ilikwa ni tamasha la aina yake likiitwa "Badilisha Concert"

Mwanamuziki Lina nae ulifika muda akatumbuiza

Msanii Lina akiimba mbele ya mashabiki kwenye usiku wa Badilisha Concert

Kila mtu alikunwa kivyake!!!

Lina akiendelea kutumbiza

Ilikuwa balaa CCM Kirumba
No comments:
Post a Comment