LEO
huko Nyon, Uswisi imefanyika Droo ya EUROPA LEAGUE ya Raundi ya Mtoano
ya Timu 32 pamoja na ile ya Raundi inayofuata ya Raundi ya Mtoano ya
Timu 16. Swansea wamepangiwa kucheza na Napoli ya Italy wakati
Tottenham, ambao walijikuta hawana Meneja Dakika chache kabla ya Droo
hii baada kufukuzwa kazi Andre Villas-Boas, watacheza na Dnipro ya
Ukraine.
Kwa sasa Dnipro iko chini ya Kocha wa zamani wa Tottenham, Juande Ramos.
Kwenye Raundi ya Mtoano ya Timu 16, Swansea na Tottenham, zote zinaweza kukutana na Klabu kutoka Ureno ikiwa zote zitafuzu kwa Swansea, ikiwa wataitoa Napoli, kucheza na Mshindi kati ya Porto au Eintracht Frankfurt na Tottenham, ikiwa wataifunga Dnipro, kupambana na Benfica au Klabu ya Ugiriki, PAOK.

DROO KAMILI:RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 32:
{Mechi za kwanza kuchezwa Februari 20 na Marudiano Februari 27}
Dnipro vs Tottenham
Real Betis vs Rubin Kazan
Swansea vs Napoli
Juventus vs Trabzonspor
Maribor vs Sevilla
Plzen vs Shakhtar Donetsk
Chornomorets Odesa vs Lyon
Lazio vs Ludogorets
Esbjerg vs Fiorentina
Ajax vs Salzburg
Maccabi Tel Aviv vs Basel
Porto vs Eintracht Frankfurt
Anzhi vs Genk
Dynamo Kiev vs Valencia
PAOK vs Benfica
Slovan Liberec vs AZ
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
[Mechi za kwanza kuchezwa Machi 13 na Marudiano Machi 20]
Liberec/AZ v Anzhi/Genk
Lazio/Ludogorets v Dynamo Kiev/Valencia
Porto/Frankfurt v Swansea/Napoli
Odesa/Lyon v Plzen/Shakhtar
Maribor/Sevilla v Real Betis/Rubin Kazan
Dnipro/Tottenham v PAOK/Benfica
Maccabi/Basel v Ajax/Salzburg
Juventus/Trabzonspor v Esbjerg/Fiorentina
No comments:
Post a Comment