Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, November 2, 2013

MANCHESTER CITY YAIPA KICHAPO CHA 7-0 NORWICH CITY KATIKA ENGLISH PREMIER LEAGUE


Manchester City leo wamewashushia kipigo kikali timu ya Norwich City bila kujitetea kwenye uwanja wa Etihad leo jioni wakati walipopambana kwenye ligi kuu England. Manchester wameanza kupata bao dakika ya 16 baada ya mchezaji wa Norwich Johnson kujifunga bahati mbaya. Dakika ya 20 Silva akaishona bao la pili, Nastasic akafunga la tatu dakika ya 25, Negredo akaongeza bao dakika ya 36 huku Toure akifunga bao jingine dakika ya 60, Aguero dakika 71 na Dzeko akamalizia bao la mwisho la saba dakika za mwishoni dakika 86 na kuitimisha mchezo huo City wakiwa juu kwa bao 7-0 dhidi ya Norwich.

Yaya Toureakishangilia bao lake la frii kiki
Doubling the lead: David Silva fires in the second after a cutback from Aguero
Doubling the lead: David Silva fires in the second after a cutback from AgueroWatching on: Joe Hart sits on the bench after being dropped by Manuel Pellegrini
Kipa Joe Hart leo alikuwa benchi baada ya kocha wake Manuel Pellegrini kumpumzisha.
Opener: Manchester City took the lead when Sergio Aguero's shot ricochet off Bradley Johnson
Mchezaji wa Norwich Bradley Johnson akijifunga bao na hatimaye City kuanza nalo bao hilo
Far too easy: Alvaro Negredo scored City's fourth at the Etihad
Alvaro Negredo ndie aliefunga bao la nne  Etihad na kuwafanya City wawe mbele ya bao 4-0

Matija Nastasic akishangilia baada ya ktupia bao la tatu

Leroy Fer  akimtoka David Silva na kuanguka baada ya kuukosa mpira

Pablo Zabaleta akikabwa na Anthony Pilkington

Kipa  Costel Pantilimon na Martin Demicheliswakipeana mkono kabla ya mpira kuanza

Sergio Agueroakipungia mashabiki mkono baada ya kufunga bao lake la nane kwa msimu huu ligi kuu England.

No comments:

Post a Comment