Gunners
wako wakicheza kwenye uwanja wao wa Emirates Stadium kwa kuwakaribisha
Borussia Dortmund wameanza vyema kipindi cha kwanza baada ya kufungwa
bao na wao kusawazisha bao hilo kipindi cha kwanza. Arsenal ndio
walianza kufungwa na mchezaji wa Borussia Dortmund Henrikh Mkhitaryan
dakika ya 16 kwa shuti kali baada ya mchezaji wa Gunners kujichanganya
na kutokwa mpira. Baadae dakika ya 41 Olivier Giroud akawasawazishia
bao hilo na kufanya 1-1 kipindi cha kwanza nacho kikaisha. Henrikh Mkhitaryan akipewa pasi safi kutoka kwa Robert Lewandowski na kutofanya makosa na kuifunga Arsenal
Wachezaji wa Borussia Dortmund wakipongezana baada Mkhitaryan kuwapa bao la mapema
No comments:
Post a Comment