- Venue: Veltins Arena
- Date: Tuesday, 22 October
- Kick-off: 19:45 BST
Mlinzi wa kushoto wa Chelsea Ashley Cole hajasafiri na wenzake
kuelekea nchini Ujerumani baada ya kushindwa kuponya maumivu yake ya
mbavu kwa wakati.
Hili linakuja wakati Cole akionekana jana akifanya mazoezi na kikosi
cha timu yake ambapo sasa anatarajiwa kurejea uwanjani katika mchezo wa
Jumapili dhidi ya City.
Mshambuliaji Andre Schurrle (mwenye maumivu ya mguu) ameelekea
nchini Ujerumani na ni miongoni kwa wachezaji 21 ndani ya kikosi cha
Chelsea.
Kevin-Prince Boateng (mwenye maumivu ya mguu) anatarajiwa kurejea
katika kikosi dhidi ya Schalke lakini Klaas-Jan Huntelaar na Jefferson
Farfan ni miongoni mwa wale wajeruhi wa muda mrefu wa kikosi cha Jose
Mourinho.
Chelsea wana kazi ya kuwasimamisha wajerumani ambao wanaongoza kundi E wakiwa na alama sita huku wao wakina na alama tatu.
Kocha wa Schalke Jens Keller ameweka wazi kuwa mabingwa hao wa mwaka
2012 kuwa ni miongoni mwa vikosi vinavyopewa nafasi ya kutwaa taji
lakini amesisitiza kuwa kikosi chake hakina sababu ya kuwa na hofu.
"Ukiangalia vizuri kundi E, sambamba na matokeo yetu ya hivi karibuni ndani ya Bundesliga, inatupa hali ya kujiamini "
Keller hatamtumia mlinda mlango wake namba moja, who
should also be able to restore first-choice goalkeeper Timo Hildebrand
pamoja na kiungo wake Jermaine Jones kutokana na kusimamishwa kwa miezi sita kufuatia kukumbwa na maumivu ya mguu
No comments:
Post a Comment