WATANO WAINGIA 15 BORA YA REDD'S MISS TANZANIA 2013
Warembo watano waliofanikiwa
kuingia hatua ya nusu fainali ya Redd’s Miss Tanzania 2013 wakiwa katika picha
ya pamoja jana. Kutoka kushoto ni Miss Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa, Miss Tanzania
Talent 2013,Prisca Clement, Miss Tanzania Personality, Severina Lwinga,Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface na
Miss Tanzania Sports Woman, Clara Bayo.
No comments:
Post a Comment