Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, September 17, 2013

RATIBA UEFA CHAMPIONS LEAGUE: LEO HII MITANANGE 8 KUTIMUA VUMBI, MANCHESTER UNITED v BAYER LEVERKUSEN.

LEO JUMANNE Usiku UEFA CHAMPIONZ LIGI, inaanza kwa Mechi 8 za Makundi A hadi D na ndani ya hizo ni ile ya Mabingwa Watetezi Bayern Munich ambao wako Nyumbani kucheza na Warusi CSKA Moscow.
Old Trafford itashuhudia Mechi ya Mabingwa wa England Manchester United kucheza na Klabu ya Germany, Bayer 04 Leverkusen, huku wenzao Man City wako Ugenini huko Czech Republic kucheza na FC Viktoria Plzeň.
Mechi nyingine za Jumanne ambazo zinahusu Klabu maarufu ni zile za huko Uturuki wakati Galatasaray wataminyana na Real Madrid, huko Denmark ni FC Copenhagen na Juventus wakati Ugiriki ni Olympiacos dhidi ya Paris Saint-Germain.

Marouane Fellaini akijifua kwa ajili ya mtanange mkali wa kesho Manchester United wakati watakapocheza na Bayer 04 Levelrkusen.

Wayne Rooney alionekana nae akijifua na wenzake




Here they come: Stefan Kiessling and his Leverkusen team-mates trained at Old Trafford on Monday evening
Wachezaji wa Bayer Leverkusen Stefan Kiessling  wakifanya mazoezi jana jumatatu kwenye uwanja wa Old Trafford
RATIBA:
[Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku]
Jumanne 17 Sep 2013
Manchester United FC v Bayer 04 Leverkusen
Real Sociedad de Fútbol v FC Shakhtar Donetsk
Galatasaray A.Ş. v Real Madrid CF
FC København v Juventus
SL Benfica v RSC Anderlecht
Olympiacos FC v Paris Saint-Germain
FC Bayern München v PFC CSKA Moscow
FC Viktoria Plzeň v Manchester City FC

No comments:

Post a Comment