Pichani ni Mwanadada Irene ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye anga ya
Bongo Muvi,hapa alikuwa kwenye lokesheni,akiigiza kwenye moja ya filamu yao
mpya na Muigizaji mahiri kutoka nchini Ghana, aitwaye Van Vicker,kama
walivyonaswa a Globu ya jamii mapema mchana huu kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar.Pichani
kulia ni Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania,TAFF akiwa sambamba na
baadhi ya Waigizaji wa filamu hapa nchini, Irene, mdau sambamba na
Muigizaji mahiri wa filamu kutoka nchini Ghana,Van Vicker wakijiandaa
kucheza muvi yao mpya,ambayo bado hawajaitaja jina.
No comments:
Post a Comment