Manchester City wakiwa kwao Etihad
kucheza Dabi na Mahasimu wao wakubwa Manchester United, City wameifunga
United bao 4-1, Sergio Agüero akifunga bao mbili peke yake bao la
kwanza dakika ya 16 baada ya kupata Krosi safi na kuunganisha hadi
kwenye lango la Manchester United baada ya mabeki wa United kufanya
makosa ya ukabaji. Yaya Toure anaipatia bao la 2 dakika za nyongeza za
kipindi cha kwanza na mpira unamalizika kwa kwa kipindi cha kwanza City
wakiwa 2-0 dhidi ya united. Bao
la tatu likafungwa tena na Sergio Agüero dakika ya 47 na la nne
likifungwa na Nasri dakika ya 50 kipindi cha pili. Dakika za mwishoni
dakika ya 87 Wayne akaipatia bao la kufutia machozi baada ya kupiga frii
kiki na mpira kumzidi kipa wa City na kuzama ndani ya lango la City na
mchezo kumalizika City wakiongoza bao 4-1 dhidi ya United.Sergio Agüero akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza.Mambo magumu kwa United jumapili hii. Hawamo mchezoni!!
Subs not used: Richards, Lescott, Pantilimon, Jovetic.
Booked: Nastasic.
Goals: Aguero 16, Toure 45, Aguero 47, Nasri 50.
Manchester United: De Gea 5, Smalling 6, Ferdinand 6, Vidic 5, Evra 6, Carrick 6, Fellaini 5, Valencia 5, Rooney 6, Young 5 (Cleverley 51 6), Welbeck 6.
Subs not used: Evans, Hernandez, Nani, Kagawa, Buttner, Amos.
Booked: Rooney, Valencia.
Goal: Rooney 87
Referee: Howard Webb
RATIBA/MATOKEO
Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal 3 v 1 Stoke City
15:30 Crystal Palace 0 v 2 Swansea City
18:00 Cardiff 0 v 1 Tottenham Hotspur
18:00 Manchester City 4 v 0 Manchester United
Aguero akifunga bao la kwanza
Yaya Toure akifanya 2-0dakika za mwishoni kipindi cha kwanza 45+1 baada ya kona kupigwa
Yaya Toure akishangilia baada ya kufunga bao
Wayne Rooney, Danny Welbeck na Michael Carrick Hoi kila mmoja kachoka kivyake!!Robin van Persie ameutazama mpira akiwa njeRefa Howard Webb akimwonesha kadi ya njano Matija Nastasic
Marouane Fellain akikabwa na Yaya Toure pamoja na Vincent Kompany kuliaJesus Navas akikimbizwa na Ashley YoungManuel Pellegrini kulia akiwapa maelekezo wachezaji wake Wayne
Rooney akimpa mkono Vincent Kompanybaada ya majanga ambapo Rooney
amepewa kadi ya njano ya kwanza kwenye Debi ya Manchester leo hii
Etihad.
Aguero akifunga bao la tatu kiurahisi hapa
Aguero akipongezwa, Alvaro Negredo na Samir Nasri Mashabiki wa City wakapagawa! full mizuka ya ushindi!Mashabiki wa City mikono juuMarouane Fellaini na Yaya Toure
Samir Nasri akifanya mbwembwe baada ya kufunga bao la nne na kufanya 4-0 dhidi ya United
Nasri akishangilia kwa mbwembwe kwenye kona
Joe Hart akipongezana na Rooney mwishoni mwa mechi hiyo
Rooney, Chris Smalling na David de Gea wakiondoka uwanjani.Hoi!Tom Cleverley na Michael Carrick vichwa chini!!
VIKOSI:
Manchester City: Hart 7,
Zabaleta 7, Kompany 7, Nastasic 7, Kolarov 7, Jesus Navas 8 (Milner 71
6), Toure 8, Fernandinho 8, Nasri 9, Aguero 8 (Javi Garcia 86), Negredo 8
(Dzeko 75).Subs not used: Richards, Lescott, Pantilimon, Jovetic.
Booked: Nastasic.
Goals: Aguero 16, Toure 45, Aguero 47, Nasri 50.
Manchester United: De Gea 5, Smalling 6, Ferdinand 6, Vidic 5, Evra 6, Carrick 6, Fellaini 5, Valencia 5, Rooney 6, Young 5 (Cleverley 51 6), Welbeck 6.
Subs not used: Evans, Hernandez, Nani, Kagawa, Buttner, Amos.
Booked: Rooney, Valencia.
Goal: Rooney 87
Referee: Howard Webb
RATIBA/MATOKEO
Jumapili 22 Septemba
15:30 Arsenal 3 v 1 Stoke City
15:30 Crystal Palace 0 v 2 Swansea City
18:00 Cardiff 0 v 1 Tottenham Hotspur
18:00 Manchester City 4 v 0 Manchester United
No comments:
Post a Comment