Hatimaye Rais wa
shirikisho la soka duniani Sepp Blatter amekuabli kuwa itakuwa ni kosa
kuipa nafasi Qatar ya kuandaa fainali ya kombe la dunia 2022, baada ya
kufahamu kuwa fainali ya kombe la dunia kuandaliwa katika kipindin cha
majira ya kiangazi kuwa italeta shida kubwa.
Taifa hilo la Kiarabu lilipewa nafasi ya kuandaa fainali ya mwaka 2010 lakini kulikuwepo na malalamiko yaliyotolewa kuhusu usalama wa wachezaji katika kufanya tukio hilo katika miezi ya majira ya joto ambapo joto inaweza kufikia nyuzi 50.

Mwezi Februari 2011,
alisisitiza kuwa kombe la dunia 2022 litafanyika katika kipindi cha
kiangazi lakini sasa amebadili moyo wake na mwezi ujao anatarajiwa
kupeleka ombi katika kamati ya utendaji ya FIFA kubadili tarehe ya tukio
hilo na kuelekea majira ya baridi.
Blatter ameongea na told insideworldfootball akisema
"Baada ya majadiliano na kufanya mapitio juu ya suala zima, nimekuja na hitimisho kuwa kucheza kombe la dunia katika joto la kiangazi huko Qatar si jambo la busara licha ya ukweli kwamba ina namna ya kutumia technolojia ya kupoza hali ya hewa.
Blatter amesema kuwa hilo litakubaliwa na kamati yake ya utendaji.
No comments:
Post a Comment