MERC-URIAL TALENT ... Anderson £168,395 SLS
VIJANA
wa Manchester United wamerejea mazoezini tayari kutetea ubingwa wao msimu huu.
Wachezaji hao walitinga mazoezini
juzi na nje ya uwanja wa Carrington eneo la kuegesha magari palionekana
kama eneo la muuza magari mkubwa.
Magari kuanzia aina ya Range ya Anderson
yenye thamni ya pauni 168,395, Mercedes na Chevrolets ambazo zinaendeshwa na wachezaji
kama Alex Buttner na Rafael.
Ifuatayo ni orodha ya magari na
majina ya wachezaji wanaoyamiliki.
Rio
Ferdinand — Jaguar XJ Portfolio (£70,385)
Wayne
Rooney — Range Rover Sport Autobiography (£84,895)
Nemanja
Vidic — Mercedes M Class (£47,385)
Ryan
Giggs — Range Rover Sport Autobiography (£98,395)
Phil
Neville — Porsche Cayenne (£86,895)
Rafael
and Fabio da Silva — Chevrolet Captiva (£32,000)
Michael
Carrick — Mercedes M Class (£47,386)
Ashley
Young — Range Rover Sport Autobiography (£68,995)
Alex
Buttner — Chevrolet Camaro Coupe (36,785)
No comments:
Post a Comment