Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, July 5, 2013

BAADA YA KUJIUNGA NA REAL MADRID ISCO ANA MATUMAINI YA KUPATA NAFASI YA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA


Isco wa Real Madrid anamatumaini kuwa kuhama kwake kutamuongezea nafasi ya kucheza katika kombe la dunia akiwa na kikosi cha timu ya HispaniaAmejiunga na klabu hiyo akitokea Malaga kwa ada ailiyoripotiwa ya pauni £23 na kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na meneja mpya Carlo Ancelotti.Isco amesaini mkataba wa miaka mitano baada ya kufanikiwa katika vipimo vyake afya.
    Born: Benalmadena, Spain, on 21 April 1992    Clubs: Valencia B, Valencia, Malaga, Real Madrid    International: Spain - one appearance
Isco amekabidhiwa jezi nambari 23 namba ambayo ilikuwa ikitumiwa na David Beckham wakati akiitumikia  Bernabeu.Amenukuliwa akisema"Sote tunamjua Beckham ni mchezaji mkubwa na aliitumia kwa miaka 10, lakini nimechagua namba hii kwasababu ni siku ya kuzaliwa kaka yangu ".

No comments:

Post a Comment