Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, June 26, 2013

PEP GUARDIOLA AKIRI KUWA KWENYE PRESHA BAADA YA KUTAMBULISHWA


Pep Guardiola amekiri kuwa yupo kwenye presha kubwa huko Bayern Munich ili kufikia mafanikio ya Meneja aliemtangulia Jupp Heynckes ambae Msimu uliokwisha Mwezi Mei alitwaa Trebo-Ubingwa Bundesliga, German Cup na UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Akiongea na Wanahabari kwa mara ya kwanza akiwa Meneja mpya wa Bayern Munich, Pep Guardiola, alisema: “Nategemea kuiweka Timu kwenye kiwango kile kile walichocheza Msimu uliopita. Ipo presha kubwa. Lazima nikubali hilo na kuweza kumudu.”
Pressure? Pep Guardiola has just taken over at European champions Bayern Munich
Pressure? Pep Guardiola has just taken over at European champions Bayern Munich
Grand entrance: There are fewer bigger stages than Bayern
Grand entrance: There are fewer bigger stages than Bayern

Glamour: And the Spaniard insists he's comfortable with the pressure
Glamour: And the Spaniard insists he's comfortable with the pressure
Corridors of power: The manager has inherited one of the strongest squads in the world
Corridors of power: The manager has inherited one of the strongest squads in the world
Confident: And he needs to be - Guardiola has big shoes to fill
Confident: And he needs to be - Guardiola has big shoes to fill

Grand gathering: Many were present to witness Guardiola's unveiling as Bayern boss
Grand gathering: Many were present to witness Guardiola's unveiling as Bayern boss
Fabulous four: Guardiola was joined by Matthias Sammer, Karl-Heinz Rummenigge and Uli Hoeness
Fabulous four: Guardiola was joined by Matthias Sammer, Karl-Heinz Rummenigge and Uli Hoene

No comments:

Post a Comment