White mwenye ndoto za kuwa mbunifu wa kimataifa, huku ikiwa ndio mara yake ya kwanza kushiriki ulimbwende, alifanikiwa kutwaa taji hilo na kumrithi Redds Miss Moshi 2012, Angela Filbert.Timu ya majaji watano wakiongozwa na Jaji mkuu, Jaji Brian walimtawaza Malkia huyo akiwabwaga wapinzani wake, Veronica Chami, Martha Charles, Winnie Macha na Ester Freddy.sema kwa kuzingatia vigezo vyote vya mashindano ya ulimbwende vinavyotumika kitaifa na kimataifa wote kwa pamoja waliridhika na kila walichokishuhudia kabla ya kuamua kumtangaza Wnlady White kuwa Redds Miss Moshi mwaka 2013.Washindi wengine ni, Mshindi wa pili, Mshiriki namba 9, Veronica Chami, (1st runner up), mshindi wa Tatu, mshiriki namba 3, Esther Freddy (2ndrunner up), mshindi wa 4, mshiriki namba 15, Martha Charles (3rd runner up) huku nafasi ya tano ikienda kwa mshiriki namba 13, Winnie Macha (4thrunner up).Adija Ibrahimu, ambaye ni mshiriki namba 6, alitangazwa kuwa Miss Talent 2013, akimbwaga mpinzani wake wa pekee mshiriki namba 4, Jacky Mushi ambaye tangu mwanzo wa kinyanganyiro alikuwa anapigiwa upatu wa kuchomoka na taji hilo.White mwenye ndoto za kuwa mbunifu wa kimataifa, huku ikiwa ndio mara yake ya kwanza kushiriki ulimbwende, alifanikiwa kutwaa taji hilo na kumrithi Redds Miss Moshi 2012, Angela Filbert.Timu ya majaji watano wakiongozwa na Jaji mkuu, Jaji Brian walimtawaza Malkia huyo akiwabwaga wapinzani wake, Veronica Chami, Martha Charles, Winnie Macha na Ester Freddy.sema kwa kuzingatia vigezo vyote vya mashindano ya ulimbwende vinavyotumika kitaifa na kimataifa wote kwa pamoja waliridhika na kila walichokishuhudia kabla ya kuamua kumtangaza Wnlady White kuwa Redds Miss Moshi mwaka 2013.Washindi wengine ni, Mshindi wa pili, Mshiriki namba 9, Veronica Chami, (1st runner up), mshindi wa Tatu, mshiriki namba 3, Esther Freddy (2ndrunner up), mshindi wa 4, mshiriki namba 15, Martha Charles (3rd runner up) huku nafasi ya tano ikienda kwa mshiriki namba 13, Winnie Macha (4thrunner up).Adija Ibrahimu, ambaye ni mshiriki namba 6, alitangazwa kuwa Miss Talent 2013, akimbwaga mpinzani wake wa pekee mshiriki namba 4, Jacky Mushi ambaye tangu mwanzo wa kinyanganyiro alikuwa anapigiwa upatu wa kuchomoka na taji hilo.Timu ya majaji watano wakiongozwa na Jaji mkuu, Jaji Brian walimtawaza Malkia huyo akiwabwaga wapinzani wake, Veronica Chami, Martha Charles, Winnie Macha na Ester Freddy.sema kwa kuzingatia vigezo vyote vya mashindano ya ulimbwende vinavyotumika kitaifa na kimataifa wote kwa pamoja waliridhika na kila walichokishuhudia kabla ya kuamua kumtangaza Wnlady White kuwa Redds Miss Moshi mwaka 2013.Washindi wengine ni, Mshindi wa pili, Mshiriki namba 9, Veronica Chami, (1st runner up), mshindi wa Tatu, mshiriki namba 3, Esther Freddy (2ndrunner up), mshindi wa 4, mshiriki namba 15, Martha Charles (3rd runner up) huku nafasi ya tano ikienda kwa mshiriki namba 13, Winnie Macha (4thrunner up).Adija Ibrahimu, ambaye ni mshiriki namba 6, alitangazwa kuwa Miss Talent 2013, akimbwaga mpinzani wake wa pekee mshiriki namba 4, Jacky Mushi ambaye tangu mwanzo wa kinyanganyiro alikuwa anapigiwa upatu wa kuchomoka na taji hilo.sema kwa kuzingatia vigezo vyote vya mashindano ya ulimbwende vinavyotumika kitaifa na kimataifa wote kwa pamoja waliridhika na kila walichokishuhudia kabla ya kuamua kumtangaza Wnlady White kuwa Redds Miss Moshi mwaka 2013.Washindi wengine ni, Mshindi wa pili, Mshiriki namba 9, Veronica Chami, (1st runner up), mshindi wa Tatu, mshiriki namba 3, Esther Freddy (2ndrunner up), mshindi wa 4, mshiriki namba 15, Martha Charles (3rd runner up) huku nafasi ya tano ikienda kwa mshiriki namba 13, Winnie Macha (4thrunner up).Adija Ibrahimu, ambaye ni mshiriki namba 6, alitangazwa kuwa Miss Talent 2013, akimbwaga mpinzani wake wa pekee mshiriki namba 4, Jacky Mushi ambaye tangu mwanzo wa kinyanganyiro alikuwa anapigiwa upatu wa kuchomoka na taji hilo.Adija Ibrahimu, ambaye ni mshiriki namba 6, alitangazwa kuwa Miss Talent 2013, akimbwaga mpinzani wake wa pekee mshiriki namba 4, Jacky Mushi ambaye tangu mwanzo wa kinyanganyiro alikuwa anapigiwa upatu wa kuchomoka na taji hilo.
Sunday, May 19, 2013
WINLADY MUSHI ATWAA REDDS MISS MOSHI 2013

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment