







Fernando Torres dakika ya 59 na Benfica nao wakaongeza nguvu na hatimaye mchezaji wa Chelsea kuruka juu na kuunawa mpira eneo hatari la penati na Refa wa Mchezo huo

Óscar Cardozo kuachia mkwaju huo dakika ya 68 na mpira kuishilia nyavuni na kubadilisha matokeo na kufanya 1-1. Dakika za Lala salama Benfica bila wasiwasi na kona hiyo dakika ya nyongeza ya 90 mchezaji Branislav Ivanovic amejitwisha ndoo na kufunga bao na huku kipa wa Benfica Artur Moraes akiangalia mpira huo ukiishilia nyavuni.

Kocha wa England Roy Hodgson naye alikuwepo Amsterdam Arena kushuhudia mtanange huo

Kocha wa Chelsea Rafael Benitez kulia akisuguana na refa kuhusu jambo ambalo limetokea punde uwanjani



Huku Chelsea wakishangilia ushindi huo, Benfica ni taabu kweli kweli.....hoi....

Kwenye patashika..


Hapa kazi tu...


Mchezaji Frank Lampard akiangalia mambo juu ya mambo uwanjani Amsterdam Arena kabla ya kufungana kipindi cha pili.

Mchezaji wa Benfica Luisao akizuia shuti la Ramires

Oscar Cardozo akijiuguza baada ya kuisawazishia Benfica na kwa mkwaju wa penati na kufanya 1-1



Cesar Azpilicueta hoi baada ya Oscar Cardozo kufunga bao kwa mkwaju wa penati







VIKOSI:
Benfica: Artur Moraes, Almeida, Luisao, Garay (Jardel 78), Melgarejo (John 66), Perez, Matic, Rodrigo (Lima 66), Gaitan, Cardozo, Salvio.
Subs: Paulo Lopes, Aimar, Urreta, Gomes.
Goal: Cardozo 68pen.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Lampard, Luiz, Ramires, Mata, Oscar, Torres.
Subs: Turnbull, Mikel, Moses, Ferreira, Marin, Benayoun, Ake.
Goal: Torres 60, Ivanovic 90+3.
Referee: Bjorn Kuipers
No comments:
Post a Comment