![]() |
kocha mkuu wa soka mfaransa Patrick Liweng akitoa maelekezo kiwanja . |
Naam bila shaka mioyo ya mashabiki itakuwa inasubiri nini kitakea siku ya mei 18 pale Simba itakapo vaana na Yanga kwa sasa hali ni tete baada ya timu zote mbili kuweka kambi katika visiwa vya karafuu hukoZzanzibar


Wachezaji wa timu ya soka Simba, Agrey Moris ,Masoud Nassoro 'Cholo' wakiwa katika uwanja wa Mao jioni ya leo wakifanya mazoezi ya kujindaa na mchezo dhidi ya Yanga utakaofanyika Mei 18, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment