Bayern Munich ndiyo mabingwa wa 2013 baada ya kuwafunga
Borussia Dortmund bao 2-1 bao la ushindi likifungwa na Arjen Robben dakika ya
lala salama (dakika ya 89) Huku akiweka Historia baada ya kukosa penati mwaka
jana walipofungwa na Chelsea kwenye mikwaju ya penati.
Kwa Bayern, hii ilikuwa ni fursa ya kujikomboa kutokana na machungu waliyopata katika vichapo vya fainali za mwaka wa 2010 na hasa mwaka wa 2012 wakati walipofungwa na Chelsea kwa changamoto ya mikwaju ya penati, fainali ambayo ilichezwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena.
Mashabiki wakishangilia uwanjani Wembley na hapa waliongeza ushabiki baada ya kuona timu zote zimeenda mapumziko zikiwa 0-0
Mashabiki uwanjani Wembley
Viongozi mbalimbali
Hii ilikuwa kabla ya mtanange kuanza
Ubunifu huo
Raha za mashabiki uwanjani hapo
Kipa Manuel Neuer akizuia pasi nje ya Robert Lewandowski
Robben akipiga mpira na kuzuiwa na kipa kwa kumgonja usoni..
Franck Ribery akimenyana na Lewandowski
Kazi ipo hapa...!
Robben akipitisha mpira chini kumpa Mario Mandzukic kufunga bao kipindi cha pili
Bao...
Dante akimkanyaga vibaya mchezaji wa Dortmund na hatimaye kushinda penati hiyo na kufanya 1-1
Mwamuzi Nicola Rizzoli akionesha mpira utengwe
Penati ikichongwa
VIKOSI:
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Piszczek, Subotic, Hummels, Schmelzer, Bender (Sahin 90+1), Gundogan, Blaszczykowski (Schieber 90+1), Reus, Grosskreutz, Lewandowski. Subs not used: Langerak, Kehl, Leitner, Kirch, Felipe Santana.
Booked: Grosskreutz
Goals: Gundogan 67 (pen).
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller, Ribery (Gustavo 90+1), Mandzukic (Gomez 90+4).
Subs not used: Starke, Van Buyten, Shaqiri, Pizarro, Tymoschuk.
Booked: Date, Ribery
Goals: Mandzukic 60, Robben 89.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
No comments:
Post a Comment