Kocha wa Gunners mapeema akiangalia vizuri uwanja wa St
James' Park
Arsenal leo wakicheza mechi
ya kufunga msimu huu uliomalizika leo kwa kukamilisha mechi ya 38 na huku
wakicheza kwa kujituma na kuhakikisha wanabaki kwenye nafasi ya 4 bora na
hatimaye kucheza Uefa Champions League na kufanikiwa kuifunga Newcastle bao 1-0
timu iliyokuwa nyumbani na inayokamata nafasi ya 16 kwenye msimao na yenye alama
41.
ushindi huu wa Arsenal
unaifanya timu hiyo kuanza hatua ya Raundi ya Mchujo na ikifuzu itaingia
Makundi. Huku Spurs iliyoshika nafasi ya 5 itacheza EUROPA LIGI kuanzia Hatua ya
Mchujo. Bao hilo la pekee limefungwa na Laurent Koscielny dakika ya 52 kipindi
cha pili baada ya kupiga mpira na kipa kuumalizia nyavuni ukitokea
kona.
Kuitwa Kocha siyo kazi ndogo...
Kocha Arsene Wenger na kocha Newcastle Alan Pardew
wakiangalia vijana wao wakimenyana vilivyo leo
Kipa wa Newcastle akitoa maelekezo kulinda ngome yao isije
ikapwaya au kulegea.
Mathieu
Debuchy akimzuia asilete shida Aaron Ramsey wa Arsenal

Tajiri na mwenye timu ya Newcastle Bw. Mike Ashley
Kipa
wa Arsenal Wojciech Szczesny akifurahia bao hilo ambalo limedumu mpaka dakika
za mwisho
Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Koscielny baada ya
kuipachikia bao
Laurent Koscielny akishangilia.
VIKOSI: Newcastle: Harper, Debuchy, Steven Taylor, Coloccini, Yanga-Mbiwa (Campbell 81), Ben Arfa, Cabaye (Anita 57), Tiote, Gutierrez, Gouffran (Marveaux 64), Cisse.
Subs not used: Alnwick, Simpson, Perch, Obertan.
Booked: Gutierrez.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Ramsey, Arteta (Oxlade-Chamberlain 28), Walcott, Rosicky, Cazorla, Podolski (Giroud 78).
Subs not used: Fabianski, Vermaelen, Wilshere, Gervinho, Monreal.
Booked: Rosicky.
Goal: Koscielny 52.
Referee: Howard Webb (S Yorkshire)
Attendance: 52,354.

No comments:
Post a Comment