Mwanamuziki wa Twanga Pepeta, Badi Bakule 'jogoo la shamba' |
BENDI ya Twanga Pepeta ya Jijini Dar es Salaam,inatarajia kutumbuiza
katika ukumbi wa Wood Land Yombo Vituka .
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni ya J&KK
Entertainment Jane Mkumbwa alisema shoo hiyo itakua kamambe huku akiwataka
wapenzi wa mziki huo kujitokeza kwa wingi ili kujionea shoo hiyo.
Jane alisema kuwa shoo hiyo itapigwa siku ya April 19 na siku kuu
ya Muungano Aprili 26 itakua katika viwanja vya Kibaha Picha ya Ndege katika
ukumbi wa Tripple J na huku akiwataka wananchi wa kibaha kujitokeza kwa wingi
sambamba na kusherekea sikukuu hiyo.
Aliendelea kueleza kua siku ya Mei 10 mwaka huu atakuwa na bendi hiyo katika
viwanja vya Bunge yaani katika jiji la Dodoma,ukumbi wa Loyal Village ambapo
wabunge pamoja na wapenzi wengine wakiwemo wanavyuo wanatakiwa kujitokeza kwa
wingi.
"Nimeamua mei 10 kuwapelekea wabunge burudani hivyo wanatakiwa
kujitokeza kwa wingi sambamba na wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kua itakua ni siku
ya mapunziko ndio itakuwa sehemu sahihi ya kupumzisha vichwa vyao
huo,"alisema Jane.
Hata hivyo alisema kwa kushirikiana na bendi hiyo ataendelea kuwapa raha
watanzania katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam, na hata mikoani.
Aliendelea
kueleza kua siku ya Mei 10 mwaka huu atakuwa na bendi hiyo katika viwanja vya
Bunge yaani katika jiji la Dodoma,ukumbi wa Loyal Village ambapo wabunge pamoja
na wapenzi wengine wakiwemo wanavyuo wanatakiwa kujitokeza kwa wingi.
"Nimeamua mei 10 kuwapelekea wabunge burudani hivyo wanatakiwa
kujitokeza kwa wingi sambamba na wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kua itakua ni siku
ya mapunziko ndio itakuwa sehemu sahihi ya kupumzisha vichwa vyao
huo,"alisema Jane.
Hata hivyo alisema kwa kushirikiana na bendi hiyo ataendelea kuwapa raha
watanzania katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam, na hata mikoani.
"Nimeamua
mei 10 kuwapelekea wabunge burudani hivyo wanatakiwa kujitokeza kwa wingi
sambamba na wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kua itakua ni siku ya mapunziko ndio
itakuwa sehemu sahihi ya kupumzisha vichwa vyao huo,"alisema Jane.
Hata hivyo alisema kwa kushirikiana na bendi hiyo ataendelea kuwapa raha
watanzania katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam, na hata mikoani.
Aliendelea kueleza kua siku ya Mei 10 mwaka huu atakuwa na bendi hiyo katika viwanja vya Bunge yaani katika jiji la Dodoma,ukumbi wa Loyal Village ambapo wabunge pamoja na wapenzi wengine wakiwemo wanavyuo wanatakiwa kujitokeza kwa wingi.
"Nimeamua mei 10 kuwapelekea wabunge burudani hivyo wanatakiwa kujitokeza kwa wingi sambamba na wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kua itakua ni siku ya mapunziko ndio itakuwa sehemu sahihi ya kupumzisha vichwa vyao huo,"alisema Jane.
Hata hivyo alisema kwa kushirikiana na bendi hiyo ataendelea kuwapa raha watanzania katika sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam, na hata mikoani.

No comments:
Post a Comment