Diva Aneth Kushaba AK47 akitumbuiza na wasanii wenzake wa Skylight Band  kwenye show iliyopewa hadhi kwa watu ambao ni VIP kushuhudia burudani ya band hiyo ndani ya JB Belmont Hotel.
Mary Lukas akitoa burudani wakati wa show ya kukata na shoka iliyofanyika JB Belmont Hotel.
Mary Lukas akiimba na kucheza na baadhi ya mashabiki wa Bendi ya Skylight jijini Mwanza.
Sam Mapenzi akitunzwa na shabiki wake.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akionyesha maujuzi yake  kucheza na warembo wa Mwanza.
Mashabiki wakichizika na burudani ya Skylight Band.
Mary Lukas, Sony Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani.
Dr. Henry akimwaga manoti kwa Bendi ya Skylight.
Papa Justin Ndege na mdau wakimwaga manoti kwa Mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi wakati wa show iliyohudhuriwa na bamatu na mapesa zao kama inavyoonekana pichani.
 Aneth Kushaba AK 47 look stunning.
Shabiki wa Skylight Band akimwaga manoti kwa Aneth Kushaba AK47.
Couples iliyobamba ndani ya JB Belmont Hotel ikijimwaga na Sebene lililokuwa likiporomoshwa na Skylight Band.
Lango kuu la kuingia kwenye Ukumbini  kulikuwa na Shots za Tequila, Vodka kwa mashabiki waliohudhuria Show ya Skylight Band ndani ya JB Belmont Hotel. Mdau Eddie akishow love na Ushers.
Papa Justin Ndege akionyesha kukunwa na vijana wake.
Wakazi wa Mwanza wakijimwaga kwa nafasi bila kunyagana ndani ya JB Belmont Hotel walipata VIP Treat.
Dr. Sebastian Ndege na marafiki zake wakiangalia burudani ya vijana wa Skylight Band.
Kulia ni Mdau Mambo wa Star TV na wadau wengine.
Sony Masaba na Joniko Flower wakisakata sebene.
Mashabiki nao hawakubaki nyuma…..chezea Skylight band….Balaaa.
Bata la Skylight Band likiendelea ndani ya JB Belmont Hotel.
Sam Mapenzi akiwambia mabinti warembo waliohudhuria show ya Skylight Band.
Mapesa yakiendelea kumwagwa kwa wasanii wa Skylight Band.
Joniko Flower akiongoza wasanii wenzake kutoa burudani.
Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakifuatilia show ya Skylight Band.
Kimbia mbio…….Wera wera Chapa ilale….Dr. Sebastian Ndege, Eddie na mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi, Aneth Kushaba AK47 wakichangamsha jukwaa wakati ndani JB Belmont Hotel.
Si kupiga vyombo hata kucheza pia tunaweza……:Wapiga vyombo nao walijumuika kuonyesha kipaji chao,  huku Sony Masamba alishika Drum na kulikung’uta kisawa sawa.
Dr. Sebastian Ndege naye alionyesha kipaji chake.
Mdau Mambo wa Star TV Mwanza akishow love na Ushers.