Kipre Tchetche |
Kipre Tchetche wa Azam FC, akimtoka Prince Jetoh wa Barrack Young Controllers kwenye mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika uliochezwa uwanja wa Taifa leo |
AZAM FC imefanikiwa kuingia
Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, licha ya kulazimishwa
sare ya bila kufungana na Barack Young Contollers II ya Liberia kwenye mchezo
uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Sare hii katika mchezo wa marudiano wa Raundi ya Pili, Azam imefuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1, baada ya wiki mbili zilizopita kushinda 2-1 mjini Monrovia.
Sare hii katika mchezo wa marudiano wa Raundi ya Pili, Azam imefuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1, baada ya wiki mbili zilizopita kushinda 2-1 mjini Monrovia.
Azam FC sasa itamenyana na
timu ya jeshi la Morocco, FAR Rabat wiki mbili zijazo.
Awali mashabiki wengi walivyodhani B.Y.C. ni timu dhaifu lakini timu hiyo iliwachezea wenyeji Azam na kama wangetumia vyema nafasi zao wangeweza kupata bao.
Pia Azam walipoteza nafasi nyingi za wazi
Awali mashabiki wengi walivyodhani B.Y.C. ni timu dhaifu lakini timu hiyo iliwachezea wenyeji Azam na kama wangetumia vyema nafasi zao wangeweza kupata bao.
Pia Azam walipoteza nafasi nyingi za wazi
Kikosi cha Azam FC; Mwadini
Ally, Himid Mao, Waziri Salum, Joackins Atudo, David Mwantika, Kipre Balou,
Kipre Tchetche, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, John Bocco ‘Adebayor’, Humphrey
Mieno na Brian Umony
Barrack Y.C.; Winston Sayouah, Karleo Anderson, Joseph Broh, Cammue Tummomie, Prince Jetoh, Junior Barshall, Benjamin Gbamy, Abraham Andrews, Randy Dukuly, Mark Paye na Ezekiel Doe.
Barrack Y.C.; Winston Sayouah, Karleo Anderson, Joseph Broh, Cammue Tummomie, Prince Jetoh, Junior Barshall, Benjamin Gbamy, Abraham Andrews, Randy Dukuly, Mark Paye na Ezekiel Doe.
No comments:
Post a Comment