LEO Mabingwa
watetezi wa BPL, Barclays Premier League Manchester City wakicheza ugenini na
Everton wakiwa uwanjani kwao Goodison Park wakimenyana na City ambao wako nafasi ya Pili
nyuma ya Manchester United walio mbele kwa Pointi 12, Wamejikuta wakichapwa
bao 2-0 na Everton na kubaki hoi na kushangaa
midomo wazi. Bao la kwanza limefungwa na mchezaji
Leon Osman dakika ya 32 kipindi cha kwanza na bao
la dakika za lala salama na mchezaji wao matata Nikica Jelavic
dakika ya 90. Ushindi huu unawasogeza Everton nafasi ya 5 wakiwa na alama 48 juu ya Arsenal wanao cheza muda mchache
ujao na Swansea
City.
Katika mchezo huo
Everton wamecheza kwa kujituma na kwa ushirikiano sana wakiwa nyumbani kwao
tangu kipindi cha kwanza mpaka cha pili na wakipata pengo la mchezaji wao
kipindi cha pili kwa kadi nyekundu ya mchezaji Steven Pienaar katika dakika ya
61 kipindi cha pili.
Leon Osman akishangilia na huku akipongezwa na wenzake leo kwenye mtanange kati yao na City.
Wachezaji wa Manchester City, wakionekana kuchoka ...hoi... baada ya kuchapwa na Everton
Nikica Jelavicakishangilia baada ya kuipachikia bao la pili timu yake ya Everton dakika za lala salama na kuwa na furaha kupita kiasi na kujikuta akivua jezi yake ambayo imemsababisha apate kadi ya njao!!
Leon Osman akiwafunga City dakika ya 32 kipindi cha kwanza.
Darron Gibson akimshika Osman ili ampongeze kwa kuipatia bao timu yao kwao Goodison Park
Steven Pienaar akipewa kadi nyekundu baada ya kucheza ndivyo sivyo katika dakika ya 61.
Osman akipongezwa..

Everton: Mucha, Coleman, Heitinga, Distin,
Baines, Mirallas (Naismith 70), Gibson, Osman, Pienaar, Fellaini, Anichebe
(Jelavic 90).
Subs Not Used: Springthorpe, Oviedo, Neville, Barkley, Duffy.
Sent Off: Pienaar (61).
Booked: Fellaini, Pienaar, Osman, Jelavic.
Goals: Osman 32, Jelavic 90.
Subs Not Used: Springthorpe, Oviedo, Neville, Barkley, Duffy.
Sent Off: Pienaar (61).
Booked: Fellaini, Pienaar, Osman, Jelavic.
Goals: Osman 32, Jelavic 90.
Man City: Hart, Zabaleta, Toure (Sinclair 83),
Nastasic, Kolarov, Javi Garcia, Barry (Nasri 70), Milner (Clichy 83), Tevez,
Silva, Dzeko.
Subs Not Used: Pantilimon, Lescott, Razak, Lopes.
Booked: Kolarov, Dzeko, Silva.
Subs Not Used: Pantilimon, Lescott, Razak, Lopes.
Booked: Kolarov, Dzeko, Silva.
Attendance: 36,519
Referee: Lee Probert
(Wiltshire).RATIBA/MATOKEO
BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumamosi Machi 16
Everton 2 vs Manchester City 0
[Saa 9:45 Mchana]
Aston Villa vs Queens Park Rangers
Southampton vs Liverpool
Stoke City vs West Bromwich Albion
Swansea City vs Arsenal
[Saa 12:00 Jioni]
Manchester United vs Reading
[Saa 2:30 Usiku]
Jumapili Machi 17
[Saa 10 na Nusu Jioni]
Sunderland vs Norwich City
[Saa 12 Jioni]
Tottenham vs Fulham
[Saa 1 Usiku]
Wigan Athletic vs Newcastle United
Chelsea vs West Ham
No comments:
Post a Comment