

Vijana hao wa Super Eagles, wamekuwa wakiimarika kila hatua ya mashindano hayo, hasa baada ya kufuzu kutoka katika makundi. Ni katika hatua ya makundi ambapo mabingwa watetezi, Zambia walitolewa na kuachia kombe hilo kufukuziwa na timu nane zilizoingia robo fainali, na hatimaye timu mbili zilizotinga fainali, Nigeria na Burkina Faso hatimaye Super Eagles ikaibuka kidedea


KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA NIGERA STEPHEN KESHI AKISALIMIANA NA BAADHI YA WABUNGE WA NCHI HIYO ALIPOWASILI KATIKA UKUMBI WA BUNGE NCHINI NIGERIA





No comments:
Post a Comment