Hivi ni viatu vipya vya Lionel Mess vilivosainiwa na
Messi mwenyewe vikitengenezwa na ajili ya mchezaji huyo bora wa dunia ambavyo vitaanza kutumika
katikati ya majira ya baridi na kiangazi .
Mpaka kufikia wakati huo itakuwa tayari vimechelewa
kuonekana katika michuano ya vilabu bingwa Ulaya.
Nyota huyo raia wa Argentina hakuwa na usiku mzuri
usiku wa jana pale aliposhuhudia timu ya Barcelona ikichapwa 2-0 na AC Malan ya
Italia mchezo wa hatua ya 16 bora ya vilabu bingwa barani Ulaya mchezo
uliochezwa katika dimba la San Siro.
Matokeo hayo yanawataka Barca kubadilisha upepo wa deni la mabao mawili dhidi ya kigogo hicho cha nchini Italia katika mchezo utakaopigwa Machi 12 katika dimba la Nou Camp.
Matokeo hayo yanawataka Barca kubadilisha upepo wa deni la mabao mawili dhidi ya kigogo hicho cha nchini Italia katika mchezo utakaopigwa Machi 12 katika dimba la Nou Camp.
Lionel
Messi amezindua kwa kuweka saini viatu vyake vipya vya adidas
F50s.
Messi
(katikati) akiinamisha kichwa baada ya Barca kupokea kichapo cha mabao 2-0
kutoka kwa AC Milan.
Inaelezwa kuwa Messi anaweza kutaka watengenezaji wa
viatu hivyo kampuni ya adidas wamfungie mapema njumu za viatu hivyo kuliko
ilivyopangwa ili aweze kuvitumia katika michuano ya vilabu bingwa Ulaya kabla ya
safari ya fainali itakayopigwa katika dimba la Wembley haijafikia
ukingoni.
Viatu hivyo vinafananishwa na 'adizero F50s' ambavyo
Messi amekuwa akivaa msimu mzima sikuwa kunatofauti ndogo ndogo za
kimaboresho.
Namna ambavyo vilivyo fumwa kwa mujibu wa kiwanda
hicho kikubwa cha Kijerumani ni kwamba vimetengenezwa kwa kuangalia hadhi ya
Messi na 'filosofia yake ya kiuchezaji' ambapo pia kuna saini ya Messi na logo ambayo
iliwekwa wazi mwaka jana.
Rangi ni mchanganyiko wa wekundu na weupe ambazo ni rangi zinazopendwa na Messi mwenyewe ikiwa ni ishara ya hatari kubwa anayo ifanya anapokuwa uwanjani wakati rangi nyeupe ina beba maana ya wepesi na kasi.
Rangi ni mchanganyiko wa wekundu na weupe ambazo ni rangi zinazopendwa na Messi mwenyewe ikiwa ni ishara ya hatari kubwa anayo ifanya anapokuwa uwanjani wakati rangi nyeupe ina beba maana ya wepesi na kasi.
Viatu hivyo pia vitakuwa na njumu moja ra rangi
nyekundu ambayo ina maana ya uwakilishi wake katika
timu.
Messi amehusishwa kwa sehemu kubwa katika maendeleo
ya muondo wa viatu hivyo ambavyo vimefanyiwa majaribio mara 10 kabla ya ukamilifu wake.
Viatu hivi vimezingati pia juu kujenga wepesi ambapo
vinauzito mzuri wa wa grame 165g, ambapo vinakuwa viatu vyepesi zaidi
katika soko.
Messi akiwa amevalia
viatu kwa matumizi lakini vitazinduliwa mapema baadaye.
Messi anataraji kuwa
akiwa na viatu hivi basi itakuwa kazi nyepesi kutwaa
mataji.
No comments:
Post a Comment