Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, January 14, 2013

SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI KUENDESHA SEMINA YA KANUNI ZA UCHAGUZI TFF





Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa semina kuhusu Kanuni za Uchaguzi za TFF itakayofanyika Jumatano, Januari 16 mwaka huu kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana kwenye ofisi za TFF.

Semina hiyo itashirikisha Wahariri (Editors), Wasanifu Kurasa (Sub Editors) na Waandishi (Reporters). Unaombwa kuzingatia muda ili kufanikisha semina hiyo.

Wako katika michezo

Angetile Osiah
KATIBU MKUU
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

No comments:

Post a Comment