Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, January 20, 2013

MKUTANO WA YANGA WAFUTA WAWILI UANACHAMA


Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifuatilia Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Clementi Sanga.

Mkutano wa Yanga uliofanyika leo umewafuta uanachana aliyekuwa Afisa habari Louis Sendeu na aliyekuwa Katibu Mkuu Mwesigwa baada ya wao kwenda mahakamani kuishitaki yanga.

Wanachama hao walikwenda mahakamani kudai stahili zao walipokuwa wafanyakazi wa klabu hiyo 

No comments:

Post a Comment