Jamal Malinzi,
mgombea Urais wa TFF
KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), limebandika majina ya wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi za Shirikisho kwa ajili ya kuwapa fursa wadau wa michezo wawaone na kuweka pingamizi wanapoona wanafaa kwa kuafuata masharti ya kanuni za uchaguzi.
Michael Wambura, mgombea Makamu wa Rais TFF
Majina hayo yamebandikwa kwa kufuata kanuni za uchaguzi za TFF kwa mujibu wa ibara ya 11 (1), (2) na (3), ikiwa ni njia ya kuwafanya wanamichezo wengine kutoa fursa kwa wale wote wenye pingamizi kwa watu wasiopenda wagombee katika Uchaguzi huo wa TFF.
Athumani Nyamlani, kulia, mgombea urais TFF
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa katika vyombo vya sambamba na Handeni Kwetu Blog, ilisema pingamizi lolote litakalomuhusu mgombea yoyote, lazima liwe kwa maandishi.
Wagombea wengine ni Stewart Ernest
Masima, Farid Nahdi, Hassan Othuman Hassan, Riziki Juma Majala, Twahil Twaha
Njoki, Davis Elisa Mosha, Khalid Abdallah Mohamed, Kusianga Mohamed Kiata, Alex
Crispine Kamuzelya, Juma Abbas Pinto, Muhsin Said Balhabou, Omary Isack
Abdulkadir, Shafii Kajuna Dauda, huku Richard Julius Rukambura, akiondolewa kwa
sababu ya kuvunja kanuni za uchaguzi, wakati Titus Osoro, akijitoa mwenyewe.
KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), limebandika majina ya wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi za Shirikisho kwa ajili ya kuwapa fursa wadau wa michezo wawaone na kuweka pingamizi wanapoona wanafaa kwa kuafuata masharti ya kanuni za uchaguzi.
Michael Wambura, mgombea Makamu wa Rais TFF
Majina hayo yamebandikwa kwa kufuata kanuni za uchaguzi za TFF kwa mujibu wa ibara ya 11 (1), (2) na (3), ikiwa ni njia ya kuwafanya wanamichezo wengine kutoa fursa kwa wale wote wenye pingamizi kwa watu wasiopenda wagombee katika Uchaguzi huo wa TFF.
Athumani Nyamlani, kulia, mgombea urais TFF
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa katika vyombo vya sambamba na Handeni Kwetu Blog, ilisema pingamizi lolote litakalomuhusu mgombea yoyote, lazima liwe kwa maandishi.
Mbali na maandishi hayo, lieleze
kwa uwazi sababu za pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa pingamizi, liwe na
jina kamili la mtoa pingamizi, anwani ya kudumu na saini ya mwanamichezo
huyo.
Wagombea waliobandikwa majina yao
kwa ajili ya kuwekewa pingamizi ni pamoja na nafasi ya urais kwa Athumani
Jumanne Nyamlani, Jamal Emily Malinzi na Omary Mussa Nkwarulo, huku nafasi ya
Makamu wa Rais wakitajwa Michael Richard Wambura, Ramadhan Omar Nassib, Wallace
Karia.
Wajumbe waliopitishwa ni Abdallah
Hussein Mussa, Kalilo Samson, Salum Hamis Umande Chama, Jumbe Oddessa Magati,
Mugisha Galibona, Samuel Nyala, Vedastus F.K Lufano, Epaphra Swai, Mbasha
Matutu, Charles Mugondo, Elley Simon Mbise, Omary Walii
Ali.
Wengine ni Ahmed Idd Mgoyi, Yusuf
Hamis Kitumbo, Ayubu Nyaulingo, Blassy Mghube Kiondo, Nazarius A.M Kilungeja,
Seleman Bandiho Kameya, David Samson Lugenge, Eliud Peter Mvella, John Exavery
M. Kiteve, Lusekelo E. Mwanjala, James Patrick Mhagama, Stanley W. D Lugenge,
Athuman Kingome Kambi, Francis Kumba Ndulane, Zafarani Mzee Damoder na Hussein
Zuberi Mwamba.
No comments:
Post a Comment