Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, January 14, 2013

MMAREKANI KASEY KELLER ALIYECHEZEA FULHAM, LEICESTER CITY, TOTTENHAM, SOUTHAMPTON BORUSSI AMBAYE YUPO NCHINI AKIONGOZA UJUMBE WA SEATTLE SOUNDERS ASIFU VIPAJI TANZANIA


Kasey Keller akizungumza na wachezaji wa Simba B na African Lyon B baada ya kushuhudia mchezo wao leo Karume jijini Dar es salaam

Kocha wa African Lyon Otieno akiwaonyesha wachezaji jinsi sehemu ambayo  wanayokwenda kucheza pindi wakiingia uwanjani wakati wa mchezo wao na Simba B uliochezwa uwanja wa Karume leo jioni na timu zote kutoka sare ya bao 1-1

Benchi la Simba

Kasey Keller na March Burch na wenzao wakifuatili mpambano wa Simba B na African Lyon B leo jioni Karume




Benchi la African Lyon

No comments:

Post a Comment