Timu za Simba, Azam, African Lyon, Mtibwa Sugar, JKT Ruvu, Coastal Union, JKT Oljoro na Ruvu Shooting zimefanikiwa kuingia robo fainali ya mashindano ya uhai Cup ynayoendelea jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Karunme na Chamazi
Mashindano hayo ambayo yalianza kutimua vumbi desemba 12 yanatarajiwa kuendelea tena kesho kutwa baada ya mapumziko ya kesho na yatafikia tamati besemba 23 mwaka huu.
Timu za Yanga, Kagera Sugar, JKT Mgambo, Polisi Morogoro, Tanzania Prison na Toto African zimeaga rasmi mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment