LEO KWENYE UWANJA Mandela National Stadium, Namboole, KAMPALA UGANDA kwenye Fainali ya CECAFA TUSKER 2012 CHALENJI CUP, Wenyeji Uganda wametwaa Taji lao la 13 la Ubingwa wa Afrika Mashariki na ya Kati baada kuichapa Kenya Bao 2-1 huku Bao la ushindi likifungwa katika Dakika ya 90 na Geofrey ‘Baba’ Kizito na mchezo wa awali Zanzibar Heroes iliwabwaga Kilimanjaro Stars kwa Penati 6-5 baada ya kwenda sare 1-1 katika Dakika 90 za mchezo na kutwaa Dola 10,000 kama Washindi wa Tatu.
Kwenye Fainali, Uganda walitangulia kupata bao katika Dakika ya 28 baada ya Anthony Kimani kujifunga mwenyewe na Kenya waliweza kusawazisha katika Dakika ya 87 kwa bao la Edwin Lavasta lakini Uganda wakaunyakua Ubingwa katika Dakika ya 90 kwa bao la Geofrey ‘Baba’ Kizito.
Katka Mechi ya kusaka Mshindi wa Tatu, Zanzibar Heroes iliwabwaga Kilimanjaro Stars kwa Penati 6-5 baada ya kwenda sare 1-1 katika Dakika 90 za mchezo.
Ndipo zikaja Penati tano tano na Zanzibar kushinda kwa Penati 6-5.
VIKOSI:
Kilimanjaro Stars: Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Issa Rashid, Shomari Kapombe, Kevin Yondani, Amri Kiemba, Athman Idd, Shaban Musa, Mwinyi Kazimoto, Mrisho Ngasa, John Bosco
Zanzibar Heroes: Abdalla Rashid Abdalla, Nadir Cannavaro, Nassor Masoud Said, Samih Nuhu Haji, Aggrey Ambrose Morris, Sabri Alliy Makame, Suleyman Kassim Suleyman, Khamis Mcha Khamis, Jaku Juma Jaku, Seif Rashid Abdalla, Abdulghan Gulam Abdalla
MATOKEO:
MSHINDI wa TATU: Desemba 8
Zanzibar 1 Kili Stars 1 [Zanzibar yashinda Penati 6-5]
FAINALI: Desemba 8
Uganda 2 Kenya 1
>>Kumbuka mechi ilikuwa ikioneshwa live" na SuperSport 9, TBC1&2, KBC TV, na baadhi ya Radio
ANGALIA MTIRIRIKO KATIKA DAKIKA NA UFUNGAJI
0' Uganda 0-0 Kenya. Match kicks off
13' Uganda 0-0 Kenya.
13' Uganda 0-0 Kenya.
20' Kenya Sub- Kevin Omondi replaces David Owino
26' Okwi injured.
27' Uganda 1-0 Kenya. Goooaaallll Anthony Kimani deflects Sentogo shot to own net
44' What a chance! Edwin Lavatsa shot hits the post
44' What a chance! Edwin Lavatsa shot hits the post
47' Juma Abdalla shot way off target.
HT Uganda 1-0 Kenya.
55' Uganda 1-0 Kenya
69' Kenya win an indirect free kick that Kevin Omondi sends top of the bar.
80' Uganda 1-0 Kenya
86' Uganda 1-1 Kenya Paul Were pass drilled into the net by Lavatsa
89' Anthony Kimani handball gifts Uganda a free kick
89'Uganda 2-1 Kenya Gooaalll.Kizito heads into the net
FT Uganda 2-1 Kenya
No comments:
Post a Comment