Kabange (aliyevaa kofia) akiwa na Mbuyi Twite anbaye ni pacha yake baada ya mchezo dhidi ya Yanga na Ruvu Shooting |
Habari motomoto tulizozipata lakina hazijathibitishwa zinasema mchezaji pacha wa Mbuyi Twite anayechezea Yanga ametua nchini kwa ajili ya Mazungumzo na wanajangwani.
Mchezaji huyu ambaye anafahamika kwa jina la Kabange anachezea APR ya Rwanda alimshuhudia pacha wake akifunga bao la kwanza dhidi ya Ruvu Shooting.
Tunaendelea kufuatilia ukweli wa habari hizi na tutawajuza kinachoendelea
No comments:
Post a Comment