 |
.Mshambuliaji wa Simba 'B',Emilly Mgeta akijaribu Kumtoka Beki wa Yanga 'B',Omary Amry katika mechi ya utangulizi kwenye Uwanja wa Taifa |
 |
Mshambuliaji wa Simba B Ramadhan Singano "MESI" akijaribu kuwatoka mabeki wa Yanga B kwenye mchezo wa utangulizi uliochezwa uwanja wa Taifa na kutoka sare ya 2-2 |
 |
Add caption |
TIMU za Simba B na Yanga B zimetoka sare ya 2-2 kwenye mchezo wa utangulizi uliochezwa uwanja wa Taifa
Simba B, inayofundishwa na Suleiman Matola, akisaidiwa
na Amri Said ilizinduka dakika za lala salama na kusawazisha mabao yote.
Yanga B inafundishwa na Salvatory Edward akisaidiwa na Abubakar Salum yalifungwa
na Kelvin Nkini kipindi cha kwanza na Notikel Masasi kipindi cha pili,
No comments:
Post a Comment