 |
Mshambuliaji wa Simba Chrispher Edward akiwatoka wachezaji waRuvu shooting |
 |
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao |
 |
Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba Daniel Akuffo akijaribu kumtoka beki wa Ruvu shooting |
 |
Amri Kiemba akiruka side tacling aliyocheza mchezaji wa Ruvu shooting | |
|
|
|
|
|
|
|
Timu ya Simba ilishida mchezo wao wa tatu kwa kuichapa Ruvu shooting 2-1 na kufikisha pointi 9 kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.
African Lyon 2 vs 1 Prison uwanja wa Chamazi Dar es salaam
Mgambo JKT 0 vs 1 Kagera Sugar Mkwakwani Tanga
No comments:
Post a Comment