|
Bondia Karama Nyilawila akipima afya kabla kupambana na Francis Cheka kesho |
|
Franciss Cheka akipima uzito |
|
Francis Cheka akiwa ameshika baadhi ya mikanda ambayo alishawahi kuitwaa |
|
|
|
Mabondia Karama Nyilawila na Francis Cheka wametambiana kila mmoja kumtwanga mwenzake kwenye mpambano wa UBO kg 75 utakaopigwa kesho kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba, jijini Da es salaam
Pambano hili litakuwa la raundi 12 na kila mmoja anasema atampiga mwenzake kwa KO bila kusema ni katika raaundi ya ngapi
Kabla ya magwiji hawa kupanda ulingoni kutakuwepo na mapambano saba yenye raundi sita hadi nane
No comments:
Post a Comment