MECHI YA UFUNGUZI WA MSIMU WA LIGI
2012/2013
Mechi ya Ngao ya Jamii (Community
Shield) kuashiria ufunguzi rasmi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2012/2013
kati ya bingwa mtetezi Simba na makamu bingwa Azam itachezwa Septemba 11 mwaka
huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment