Pengine naweza zimekuwa fainali za aina yake kwani timu zilizoshiriki mashindano ya super 8 zilileta vikosi kamili lakini Simba wao wakaamua kuingiza timu B,
Unajua ukiaminiwa na wewe unaonyesha kuwa kweli ulistahili, ndivyo walivyofanya Simba Bkwa kucheza kambumbu safi lililowaduwaza watu maana hata kama uipendi Simba basi mchezo uliokuwa unatandazwa uwanja ulimvutia kila mmoja na kuanza kushangilia. Walianza kwa Azam, pamoja upro wao walilala.
![]() | |
Kikosi cha Mtibwa kilichoangushwa kama mende |
![]() | |
Kikosi kilichoandika historia ya kutwaa ubingwa wa super 8 yaliyodhaminiwa na banc ABC |
No comments:
Post a Comment