Pages

Saturday, September 30, 2017

OMMY DIMPOZI, DARASSA, MR BLUE NA CHEGE WALIVYOPAGAWISHA FIESTA TABORA



Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa  kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo

Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora

Msanii wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo

Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta

Darassa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani  Tabora.

Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa Tabora waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Ally Hassan Mwinyi Tabora

Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora.

Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta  katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora 

Maua Sama akiimba kwa hisia 




Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment