MTIBWA SUGAR YAJIIMARISHA KILELENI MWA LIGI KUU
Mtibwa Sugar iliifunga 2-1 Mbao FC kwenye Uwanja wa Manungu Turiani huku Prisons ikitoka Suluhu
dhidi ya Ndanda FC, Lipuli nayo ikishindwa kutamba kwa Ruvu Shooting baada ya
kulazimishwa sare ya bila kufungana na Singida ilishinda 1-0 dhidi ya Stand
United.
No comments:
Post a Comment