Rais wa Shirikisho la Sok Barani Afrika,
Issa Hayatou ameshindwa kutetea nafasi yake kufuatia kuzidiwa kura na
mpinzani wake pekee, Ahmad Ahmad wa Madagascar.
Hayatou ameshindwa na Ahmad aliyekuwa
akipigiwa chapuo na ukanda wa Afrika ya Kusini kwa kura 14. Mshindi
Ahmad amepata kura 30 huku Hayatou akiambulia kura 20
Hayatou ameiongoza CAF kama Rais tangu mwaka 1988.
No comments:
Post a Comment