GEORGINIO WIJNALDUM AWAPA ZAWADI YA MWAKA MPYA MASHABIKI WA LIVERPOOL
Georginio
Wijnaldum akipongezwa na wenzake mapema dakika ya 8 leo kwenye mchezo
wa Ligi Kuu England, EPL. Liverpool wameibuka na ushindi wa bao 1-0
dhidi ya Man City na ushindi huu unawapandisha Liverpool nafasi ya pili
wakiwa na alama 43 nyuma ya alama 6 kutoka kileleni kwa Vinara Chelsea
ambao wana alama 49. City wao wamebaki nafasi ya 3 wakiwa na alama 39.
No comments:
Post a Comment