Pages

Thursday, October 20, 2016

SIMBA YAIFUNGA MBAO 1-0 UWANJA WA UHURU



Mzamiru Yassin leo ameisaidia Simba kuendelea kujikita kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifungia Simba bao kwenye mchezo wao dhidi ya Mbao FC uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Mchezo huo ulikuwa wa kuvutia na ushindani wa hali ya juu ulimaliza kipindi cha kwanza bila kufungana.

No comments:

Post a Comment