Pages

Friday, September 30, 2016

MTU MMOJA AKAMATWA AKILANGUA KADI ZA SELCOM NJE YA UWANJA WA TAIFA LEO KWA AJILI YA MCHEZO WA SIMBA NA YANGA

Jamaa wakilangua kadi za selcom kwa ajili ya mchezo wa Simba na Yanga nje ya Uwanja wa Taifa leo



Hapa anarudisha pesa kwa watu baada ya wandishi wa habari kukisanua na kusaidiwa na askari mmoja wa JWTZ ambaye akutaka kupigwa picha wala kutaja jina lake.

No comments:

Post a Comment