Jamaa wakilangua kadi za selcom kwa ajili ya mchezo wa Simba na Yanga nje ya Uwanja wa Taifa leo |
Hapa anarudisha pesa kwa watu baada ya wandishi wa habari kukisanua na kusaidiwa na askari mmoja wa JWTZ ambaye akutaka kupigwa picha wala kutaja jina lake. |
No comments:
Post a Comment