Tayari Leicester na Spurs zipo 4 Bora na kuacha Nafasi za 3 na 4 kugombewa na Timu kudhaa ili kucheza UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, Msimu ujao.
Moja ya Timu hizo ni Man United ambao ndio watafungua dimba la Mechi za Wikiendi Ugenini huko Carrow Road kucheza na Norwich City, Timu ambayo walifungwa nayo Mwezi Desemba Old Trafford 2-1, na ambayo sasa inapigania.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
Jumamosi Mei 7
14:45 Norwich v Man United
[Saa 11 Jioni]
Aston Villa v Newcastle
Bournemouth v West Brom
Crystal Palace v Stoke
Sunderland v Chelsea
West Ham v Swansea
19:30 Leicester v Everton
No comments:
Post a Comment