FULL TIME: SOUTHAMPTON 4 v 2 MANCHESTER CITY, SADIO MANE AIKAANGA CITY KWA KUIPIGA HAT-TRICK!
Man City wakicheza Ugenini huko Saint Mary Stadium, walichapwa Bao 4-2 na Southampton ambao walifunga kwa Hat-trick ya Saido Mane na Bao la Shane Long huku City wakipata Bao zao kupitia Kelechi Iheanacho.
No comments:
Post a Comment