Ni
ukumbi wa ndani kwa ndani maarufu mno jijini New York, Marekani
nyumbani kwa wasanii wakubwa wakiwemo Jay Z, Beyonce, Justin Bieber,
Rihanna, Drake, taja kila msanii mkubwa wa Marekani, amewahi kutumbuiza
hapo. Na sasa Diamond, Wizkid na Flavour, watakuwa wasanii wa kwanza
wanaofanyia muziki Afrika kuwahi kutumbuiza kwenye ukumbi huo. Mastaa
hao watatumbuiza kwenye tamasha la muziki la One Africa July 22, 2016
kwenye ukumbi huo wenye uwezo wa kujaza watu 20,000. “We are about to
Make a History America
No comments:
Post a Comment