EPL JUMAPILI, MANCHESTER UNITED KUWAVAA ARSENAL
Ligi
kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea tena Wikiendi hii baada ya
kupisha michuano ya FA CUP ambapo Jumamosi kutakuwa na michezo sita.
Vinara
wa ligi Leicester city dhidi ya Norwich city, Southampton na Chelsea,
Stoke itaikaribisha Aston Villa, Watford itaivaa Bournemouth, West Brom
na Crystal Palace, West Ham itaikaribisha Sunderland.
Jumapili
ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo miwili Manchester united watakuwa
wenyeji wa Arsenal uwanja wa Old Traford, na Tottenham wakiwakaribisha
Swansea city, huku michezo miwili ikiaharishwa Liverpool itachuana na
Everton,New castlle watakuwa wenyeji wa Manchester city.
No comments:
Post a Comment