Ligi
kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea tena Wikiendi hii baada ya
kupisha michuano ya FA CUP ambapo Jumamosi kutakuwa na michezo sita. Vinara
wa ligi Leicester city dhidi ya Norwich city, Southampton na Chelsea,
Stoke itaikaribisha Aston Villa, Watford itaivaa Bournemouth, West Brom
na Crystal Palace, West Ham itaikaribisha Sunderland. Jumapili
ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo miwili Manchester united watakuwa
wenyeji wa Arsenal uwanja wa Old Traford, na Tottenham wakiwakaribisha
Swansea city, huku michezo miwili ikiaharishwa Liverpool itachuana na
Everton,New castlle watakuwa wenyeji wa Manchester city.
MKUTANO WA HADHARA WA DKT. NCHIMBI WILAYANI MBINGA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea
Wilaya y...
MASHUJAA YAIKUNG’UTA FOUNTAIN GATE 3-0 KIGOMA
-
WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain
Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake
Tanganyi...
Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri ladha ya bia
-
Bia, mojawapo ya vinywaji vinavyopendwa duniani, na kinywaji cha kileo
kinachopendwa zaidi kwa kiasi, kimekuwa sehemu ya jamii tangu wanadamu
walipogundua ...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
TAKUKURU Kubaini Mamluki Michezo Mei Mosi 2020
-
*Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi wakiwa kwenye kikao
cha Kwanza cha maandalizi ya michezo hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki
k...
Gabon : Daniel Cousin a (enfin) signé son contrat
-
Sortie de crise à Libreville. Le sélectionneur du Gabon, Daniel Cousin, a
enfin signé le contrat qui le lie à l'équipe nationale de football. Les
termes de...
Itazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’
-
Kwa nafasi ya upendeleo New Talents tunachukua fursa hii kukupa nafasi ya
kwanza kuitazama hii video ya Simulizi mpya iliyo beba ujumbe mkubwa
unaotakiwa ...
Giroud ajiunga na Chelsea
-
Chelsea imekamilisha usajili wa Oliver Giroud kutoka Arsenal kwa ada ya
paundi milioni 18. Washika mitutu wamekubali kumuuza Giroud kwa wapinzani
wao wa ...
Post a Comment