Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal hakuomba kujiuzulu wikendi iliopita, licha ya kuwa na madai hao.
Van Gaal mwenye umri wa miaka 64 alidaiwa kumuomba naibu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward kwamba angejiuzulu kufuatia kushindwa kwa klabu hiyo katika mechi ya ligi dhidi ya Southampton.
DurVan Gaal alirudi katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo siku ya Jumanne huku wakijiandaa kwa mechi ya kombe la FA ya awamu ya nne dhidi ya Derby County siku ya Ijumaa.u zimearifu BBC michezo kwamba hakuna mazungumzo kama hayo yaliyofanyika.

No comments:
Post a Comment